BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.
Unajua kuna watu wana watoto kila kona na hawajaoa???
Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.
Unadhani kila anayeoa anatafuta mashine ya kuzalia?
Wengine wanao kwa mapenzi bin mahaba watoto majaliwa