Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Muke Ya Muzungu, Jan 28, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

  Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

  Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
   
 2. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daah ni super.. But vibaka wakijua thamani ya huo mkono wataukata?! N'ways..good for her
   
 3. Ndaki

  Ndaki Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!

  Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"

  Mi simo
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni uzumbukuku na kufuru zilizotujaa wanadamu; hapo send off party utasikia 200m! Mbona pamoja na kufuru zote hizo hambadili ardhii mnayoikanyaka nayo iwe ya dhahabu tupu badala yake mnakuja tunashea wote ardhi hii hii! basi kumbukeni kushare ahat wealth mliyopewa kwa niaba yetu!
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ubatili mtupu, na kujilisha upepo
   
 6. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Siwezi kushangaa kuona hayo, kama ni mtoto wa FISADI, basi hela hizo yawezekana ikawa ni kodi za walala hoi wa Bongo. Muhimu zaidi angefikiria hali za ndugu zake kwanza kabla ya kufikiria wabongo kwa ujumla, je ndugu zao hakuna wenye shida, hakuna vitotot vinakosa ada za shule au ada zinapatikana kwa shida? kama hayo kwao hayapo angefikiria wabongo nao hakuna wanaohitaji msaada?? Lakini sio yeye pekee yake ndivyo Mitanzania ilivyo
   
 7. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wapeleke misaada kilosa huko kwenye mafuriko watu hawana hata pa kulala! Sio kukufuja pesa kwa vitu visivyo na umuhimu!!!
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ilaumu serikali wewe sio mtu kabeba Box kapata mshiko wake then unampangia matumizi? Umaskini wetu unaletwa na sera mbovu na zisizo tekelezeka....!!
   
 9. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuvishwa pete kwa hao tumezoea sana , je hata iwe 20M $ itamletea furaha ktk maisha? ubatili mtupu, ni kujifurahisha tuu basi!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  oopppppppppppppppps pete ya $76,000

  all the best
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180

  Huyo jamaa na yeye anadhani anaweza oa model? mtaniambia only a year jamaa atasarenda mwenyewe
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna ushahidi gani kwenye garama ya pete? umeona risiti ya manunuzi? tusichangie mada na kuanza kulaumu baadae tukaja umbuka ni vizuri tukawa na uhakika.
   
 13. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwanza why uiite breaking news? iweke ktk udaku na gossips kwani hujaona receipt it was hear who say!
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  haya hiyo katika rangi nyekundu mmmmh
   
 15. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  tusipende kunyoosheana vidole jamani, kila mtu ana uhuru wa kutumia pesa yake kwa mujibu wa mahitaji yake hata kama pesa hiyo hakuipata kihalali. Mbona kuna mengi tu tunayafanya kila siku ila hatujiulizi ni kwa kiasi gani haya tunayofanya yanaweza kuwasaidia maskini au hata kuinua maendeleo ktk jamii zetu, tunafanya sherehe za harusi za gharama kubwa sana na wengi wetu humu ni wachangiaji wa michango hiyo isiyo hata ya lazima, kwa nini hizo sherehe na hiyo michango tusipeleke kwa maskini au tuchange ili kuinua kiwango cha elimu na huduma ya afya, wengi wanaona hao wahusika kama vile wamefanya kufuru ila wanashindwa kujiiuliza na wao huwa wanafanya nini japo kidogkidogo kwa muda mrefu.

  Mtu mmoja hawezi kuleta mabadiliko hayo tunayodhania yanawezekana, kama tukianza kujiuliza kwa staili hiyo mi naona ni hatari coz hata pc tunazotumia sasa hv kutoa haya maoni ni gharama ukilinganisha na hali ya umaskini waliyokuwanayo watu wa vijijini, so tunatakiwa nasi tuuze pc zetu ili tuweze kutoa michango ya mafuriko kilosa, tusaidie ada za shule kwa watoto wa ndugu zetu n.k?? kama kweli tunaona uchungu wa matumizi ya pesa wakati bado asilimia kubwa wangali maskini then ni vyema tungeanza na matumizi ya pesa kwa serikali yetu na sio ya mtu mmoja mmoja..
   
 16. N

  Nanu JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.

  Yawezekana pia pete yenyewe imeibiwa huko huko Canada ikaletwa hivyo hivyo na kuja kijisifu nayo, inabidi Happiness akisafiri awe makini maana kama kuna security label na haijatolewa anaweza kubambwa au waibadilishe muundo. Hiyo ni kama imekwapuliwa!!! Lakini kama ni ya haki, all the best to both of them, lakini vibaka wakijuaaaaaa wanaweza kuondoka na pete na kidoleeeeee, awe makini..kama walimwibia JD katikati ya watu, uwanja wa taifa, wataacha kuiba sehemu za starehe au saloon, etc??????

  Bongo zaidi ya uijuavyo!!
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wizi mtupu oooooooooooooooooops!
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah hii ni hatari sana anajitengenezea kutokuwa na amani maana watu wataanza kumnyemelea ili wakwapue pete hiyo sisi mitaani wakisikia umerudi na mil.1 unafuatwa na bunduki na mapanga juu sasa hiyo pete lazima aombe ulinzi binafsi
   
 19. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Watanzania ndo maana mnaendelea kua masikini!! Hata akivalishwa pete ya USD 100 Mil, si pesa zake, nyie nani anawapangia matumizi yenu???

  Nyie mnapotumia pesa zenu, huwa mnakumbuka ndugu/watanzania wengine!!

  Kweli sasa naamini ni rahisi kwa tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni kuliko masikini. Masikini mna majungu sana na kupenda kuwapangia watu watumieje hela zao.

  Tafuteni zenu ili mkagae kwa masikini, Period!!!!!!!!!!
   
 20. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani hiyo ni kawaida...si ni sawa tu na yule anayetoa gari jekundu kwa yule anaemega! acheni wale coz hatuna cha kufanya,
   
Loading...