Hapana, kwahilo sithubutu

Hapana, kwahilo sithubutu

Aaaaaaah! Wapi! Mwambie mkeo mdogo wake anakutaka! Baaaaaaaaaaaaass! We muhadae akutumie sms za kimahaba ndo ushahidi huo, msemehe kwa mkeo, mpe ushahidi!

Huyo shem hata akija kusemelezea ataonekana mnafiki na maneno ya mkosaji! Anaewahi Kushtaki Polisi ndo Mwenye Haki! Anaekuja nyuma hata kama ana haki anatupwa ndani maana anakuta RB inamngoja!

we mbayaaaa,hii mbinu itafanya kazi asilimia 2000!pamoja sana
 
Two wrongs don't makes it right..

Kama umefanya kosa la kwnz unataka kulicorrect na kosa la pili utakua na matatizo ya akili.Achana na hicho kifaranga deal na namna ya kusolve tatzo la kumcheat na madha house either umwambie ukwel kwamba umeteleza na kufanya huo ujinga but ni kwahyo siku moja na kwa vile umejutia na hutaki itokee tena pendekeza mpango wa kuhama na mtafte nyumba nyngine...na hicho kitabia chako kife
 
Duh huyo shemej inaelekea alikua anakutaka mda mrefu nae pia alikua nanataka dadda yake aondoke ili afaidi na wewe, na inaelekea ana miaka 16 tu lakini mtaalam ile mbaya.. kua makini huwezi jua ana mipango gani kaa nae muulize alianza lini hayo mambo na mwambie dada yake akijua itakua mbaya zaidi kuliko mama mwenye nyumba
 
Unachofanya ndicho mkeo anachofanywa,dada zako wanachofanywa,wazazi wako etc etc...

Cjui kwanini wazinzi huwa mwadhani nyie ndo mnaopiga tu...ilhali na wewe wagongewa kama kawa... What goes around comes around...

Hivi mkuu ingekuaje unge mtaja mkewangu2. Huyo dada na wazazi wangu wamefata nini hapo? Kua na heshima
 
Two wrongs don't makes it right..

Kama umefanya kosa la kwnz unataka kulicorrect na kosa la pili utakua na matatizo ya akili.Achana na hicho kifaranga deal na namna ya kusolve tatzo la kumcheat na madha house either umwambie ukwel kwamba umeteleza na kufanya huo ujinga but ni kwahyo siku moja na kwa vile umejutia na hutaki itokee tena pendekeza mpango wa kuhama na mtafte nyumba nyngine...na hicho kitabia chako kife

Huu ndio ushauri wenye vitamini vyote. Hilo la kuama hata mimi limeniingia kichwani, ila tatizo mama mwenyenyumba tayari ana nambayangu ya sim kwahiyo akinipigiaje?
 
kweli ahera hapatoshi.... nimechoka...
 
Huyu jamaa ana mambo ya ajabu sana.

Sina chaajabu chochote, kwani ushawahi kusikia sikumoja nimegeuza gas kua maji? Au bahari kuwa kichuguu? Hapana kwahilo sithubutu
 
Kula tu mzigo mkuu...kwani huyo dogo si kataka mwenyewe???

Naogopa miaka thelathini jela. Siuna jua sheria zetu? Mahakama haitanielewa kuwa alitaka mwenyewe kwakweli hapana kwahilo sithubutu.
 
Naogopa miaka thelathini jela. Siuna jua sheria zetu? Mahakama haitanielewa kuwa alitaka mwenyewe kwakweli hapana kwahilo sithubutu.
Mkuu si unafanya kimya kimya..au hujui ile kitu watoto wa mjini wanaita silent killing....
 
Hivi enhee! Nita jaribu. Lakini uwoni nitagombanisha familia? ( mkewangu na shemeji yangu )

Basi mrambe huyo shemeji yako uone km hutawagombanisha.hiyo ikijulikana ndo kabisa wanaweza hata kuuana.Achana na uchungu wa kuibiwa mhogo wako!mkeo anaweza kuua bila kujali kama ni mdogo wake.
 
Back
Top Bottom