fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,235
Aaaaaaah! Wapi! Mwambie mkeo mdogo wake anakutaka! Baaaaaaaaaaaaass! We muhadae akutumie sms za kimahaba ndo ushahidi huo, msemehe kwa mkeo, mpe ushahidi!
Huyo shem hata akija kusemelezea ataonekana mnafiki na maneno ya mkosaji! Anaewahi Kushtaki Polisi ndo Mwenye Haki! Anaekuja nyuma hata kama ana haki anatupwa ndani maana anakuta RB inamngoja!
we mbayaaaa,hii mbinu itafanya kazi asilimia 2000!pamoja sana