Hapana, hii ni laana!!

Hapana, hii ni laana!!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,990
Reaction score
34,839
Wakuu,

nimepishana na DCM pale tegeta limejaa akina mama wametoa. makalio nje ya dirisha wakiwa uchi kabisa(nasisitiza uchi kabisa) wanakatika makalio yakiwa nje!

Imezuka taharuki kubwa hapa! ni msafara kama wa harusi!

Hii haikubaliki naomba askari wawakamate mara moja!
 
Kama una mtoto kwenye gari sijui utafanya nini! aibu sana!

Bora wangecheza bila kuvua nguo! ni fedheha sana kama tumefika hapo!
 
Yaani ni laana, iliyopitiliza halafu ni watu wazima sijui wanaifunza nini jamii mi nimewaona hapa tangi bovu na walitokea kawe yaani wapo uchi kabisa. Mungu atusamehe
 
polisi wapo jf? sahv wamelala na hangover zao
 
Mkuu kama ungefanikiwa kupata kapicha hata kauzushi ingekuwa bomba.

Pamoja na hayo kama ni kweli ji jambo lisilo vumilika kabisa.

Namba za gari hilo umezichukua ili iwe rahisi kwenye utoaji taarifa?
 
Soko Huria...'wafanya biashara' wa uswazi wapatapo nafasi kujitangaza...
 
ajira zenyewe hamna,masharti ya mikopo ni magumu na ajira hamna na hii inatokana na kukosa vigezo vya kuajiriwa sasa wafanyaje?
 
Wakuu,

nimepishana na DCM pale tegeta limejaa akina mama wametoa. makalio nje
ya dirisha wakiwa uchi kabisa(nasisitiza uchi kabisa) wanakatika makalio
yakiwa nje!

Imezuka taharuki kubwa hapa! ni msafara kama wa harusi!

Hii haikubaliki naomba askari wawakamate mara moja!

Mkuu usishtuke sana. Mambo ya kanga moko hayo...
 
Kanga moko huvaa kanga moja, sasa hawa wako uchi kabisa. Itakuwa jambo jingine kabisa. Au wamevamiwa na majambazi na kulazimishwa kuimba huku nguo zao wameshaziteka.
Kanga moko hiyo zimedondoka! kwa hiyo imebakia kanga null!
 
Mimi nawaviziaga then nawatia madole ya mnduku, wenyewe huingiza minduku yao ndani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom