Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa ewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya T usker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”
.........
.........