Fanta Orange

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,742
2,000
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”Daaaah kweli pombe sio supu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom