hii ndio kiboko
aisee ...hivo ndo namna chura wanavopikwa..eeeh CHURA hujakosea kusoma..NI hapa hapa Tanzania katika mkoa wa mtwara wilaya ya masasi vijiji around Namajani chura wanaliwa vizuri tu....Kama Wewe Ndo Njaa Imekushiki Zaidi Hapa Hakipakuliwi Mpaka Kiive
aisee ...hivo ndo namna chura wanavopikwa..eeeh CHURA hujakosea kusoma..NI hapa hapa Tanzania katika mkoa wa mtwara wilaya ya masasi vijiji around Namajani chura wanaliwa vizuri tu....
Sasa basi kwa kuwa inakuwa ngumu kuwatoa roho, hupikwa wakiwa hai..hutoswa kwenye sufuria namna hiyo then funiko linawekwa mawe namna hiyo ili wakiruka ruka wasilifungue funiko
...unaambiwa chura wakiiva vizuri wanatoa mtuzi wenye rangi fulani ya njano mithili wametiwa binzari ya manjano
#tembea #uone
hapo msosi upo ndani ya shaba kuna viele ele mpishi akitoka wanafunua sasa hapo wamepatikana
Mmmmh! Kuna Ukweli Hapo Kaka?