hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

safi hyo nimeipenda mkuu!
Yah,huwezi ukuwa unaharaka kiasi hicho mtu hata asishituke bado haujkubaliwa unaanza kuomba promise ya kutaka kula,umekubaliwa unaanza kutafuta chumba wakat hata train halijachanganya mwendo hata ungekuwa ww ndo mwanamke ungeshituka
 
Unapotaka kumfahau mtu huwezi mfahamu ukiwa umeweka daraja au ukuta unatakiwa kuwa nae karibu uweze kumwelewa kiundani. Suala la kuwahi sex yawezekana hamkuweka mazingira ya kuwa karibu au kuwa na kitu mbadala ndo maana wewe ukaona mwenzako anawahi kuongelea suala la sex
 
Kwani wewe ulitaka umfahamu vip hasa? Na ulihitaji muda gani mpaka umfahamu?
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!!
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!!
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!!
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex.
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!

pole mumy,..mhh naye kazidi,fasta hvoo...usimpe aisee,kama unampenda make him wait jmn walau 3 ,months ama zaidi
 
Tukikuambia yalikuwepo utamrudia au tunatwanga maji kwenye kinu!??
 
Private business ni kitu gani?
Kujidhalilisha ni nini?
Mada ya maana ni ipi?
Kwa kipimogani unajua ya maana?
Heshima ya JF ni ipi?

ahsante aisee ,mana nlikua namtaftia majibu na mimi,
 
Unapotaka kumfahau mtu huwezi mfahamu ukiwa umeweka daraja au ukuta unatakiwa kuwa nae karibu uweze kumwelewa kiundani. Suala la kuwahi sex yawezekana hamkuweka mazingira ya kuwa karibu au kuwa na kitu mbadala ndo maana wewe ukaona mwenzako anawahi kuongelea suala la sex

sema wew......mi mwenyew nashangaa......sasa sijui alitaka waanzaje!!!?
 
pole mumy,..mhh naye kazidi,fasta hvoo...usimpe aisee,kama unampenda make him wait jmn walau 3 ,months ama zaidi

sijakuelewa....await for wat???kama mtu ni kicheche ata umsubirishe mwaka.....si utampa tu na atacheat.....kibaya zaid wakati huo utakuwa ushainvest feelings zako apo....ndo mwanzo wa kulialia.....haya mambo hayana fomular!
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!!
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!!
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!!
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex.
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!

Kwani we hutaki pesa? You said " sijawahi kutaka chochote kutoka kwani in terms of cash" kana kwamba angeku-offer something na ungempa anything.
 
mla, huliwa.
Kala vya nani?
Kwani lengo hasa la kutongozana na kuingia kwenye mahusiano huwa ni lipi kama sio kuvuwana tu mwisho wa siku?
Kila mahusiano yana malengo yake
Kwani ya huyu wewe unayajua malengo?
Swala la muda huwa ni makubaliano yenu tu wenyewe lakini halipindishi lengo la kutongozana..!
Unajua walikubaliana baada ya muda gani ndio wapeane?
Nimekuambia kuwa malengo ya kutongozana yanatofautiana
Wewe unajua hawa walitongozana kwa malengo gani?
Na sio kweli kila anayepewa kwa siku hiyo hiyo hana mapenzi ya kweli au lengo lake huwa ni kula na kukimbia.
yeroo ebu nielewe kwa hayo.
Nani amesema hayo??
 
Alikuwa anataka mgegedo tu then asepe, umemkomesha!
 
Kala vya nani?
Wewe uliposema swala la kutoka out linawezeka kwa mara ya kwa hapo atakuwa anajitoa mwenyewe au anaenda na huyo aliyemtongoza!
Kila mahusiano yana malengo yake
Kwani ya huyu wewe unayajua malengo?
Kawaida lengo la kwanza linakuwa lile lililo kupelekea kutongoza(kugegeda) mengine huwa yanasherehesha ili mapenzi yaendelee kuwepo
Unajua walikubaliana baada ya muda gani ndio wapeane?
Hili atakuja aseme mwenyewe, ila kwa mujibu wa maelezo ya huyu binti hata yeye hajui alichokuwa anataka shida yake ili kuwa mapenzi anaombwa anaanza kuruka
Nimekuambia kuwa malengo ya kutongozana yanatofautiana
hata kama yanatofautiana bado swala la kugegedana lazima linakuwemo na halipingiki labda kama utakuwa umezaliwa jana ndo unaweza kuwa haujui lolote jui ya hilo
Wewe unajua hawa walitongozana kwa malengo gani?
Unarudia sana maswali hili nimekujibu, ila kwa ku kumbushia la kwanza ni kugegedwa tu hakuna zaidi.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!!
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!!
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!!
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex.
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!

mimi naona ungempa tu usingembania coz no doubt huwa kwa wengne unawapa tu
 
Back
Top Bottom