afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 136
- Thread starter
- #101
so inaweza kuwa alternative ya ukaribu!!!!!is that what u mean!!!! If so mimi i wont take that kwa kweliUnapotaka kumfahau mtu huwezi mfahamu ukiwa umeweka daraja au ukuta unatakiwa kuwa nae karibu uweze kumwelewa kiundani. Suala la kuwahi sex yawezekana hamkuweka mazingira ya kuwa karibu au kuwa na kitu mbadala ndo maana wewe ukaona mwenzako anawahi kuongelea suala la sex