hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

Kwa hiyo ulikuwa unataka akae miezi mingapi ndio aombe tundi?! Wasichana sometimes mnakua kama na akili za kuku.
 
Ulikosea Siku hiz hatuuziwi mbuz kwa mfuko...kuonja kwanza then mnaendelea je kama hujui abebe mzigo,kama una harufu awe clenner?? Ungempa kisha umhendle yaeezekana alikuchunguza akagundua unakakipoozeo hvyo alita akuswitch on kweke
 
Right things, right time....

Ukilala na mwanaume mapema sana, atapoteza interest na wewe mapema pia. Sio tu wewe upate nafasi ya kumfahamu, na yeye pia unapaswa kumpa muda wa kukufahamu wewe, ili apate kitu kitachompa interest even after sex.

Ulikuwa sahihi sana, big UP...
 
Haukuwa sahihi kumbania jamaa kwa sababu hata kama angekaa kwa miezi 9 bila kuomba sex, bado mwisho wa siku mgefanya tu hakuna ajenda nyingine ya mwanaume kumfuata mwanamke zaidi ya kumvua bi***n, ungempa tu mwenzio alikuwa kesha zidiwa.

Na ili kujua kama yalikuwepo mapenzi lazima umpe ndo unajua kuna mapenzi, we hauwezi tu kuhoji kama yalikuwepo wakati haujampa mkayafanya hayo mapenzi.

Sijajua wewe ulikuwa unataka mapenzi tu au ulikuwa unataka mapenzo ya kweli, ebu niweke sawa hapa sijaelewa vizuri.

Jmn, kwani hakuwezi kua na mapenzi mpaka watu wafanye ngono? Hapo kasema alikua anamsoma, wajuane kwanza ndo aone kama watafanya au ndo mpaja ndoa, si watu wavamiane kama wanyama, hata wanyama wana njia yao ya kufikia huko kwenye ku du!
 
Kwenye mapenzi kuna mambo yanaweza kufanywa siku ya kwanza na kuna mengine yanahitaji muda

Kutoka out inawezekana hata mara ya kwaza ya kuonana kwenu
Ila ngono daaaahh!!!!!!!!!!!

mla, huliwa.
Kwani lengo hasa la kutongozana na kuingia kwenye mahusiano huwa ni lipi kama sio kuvuwana tu mwisho wa siku?
Swala la muda huwa ni makubaliano yenu tu wenyewe lakini halipindishi lengo la kutongozana..!
Na sio kweli kila anayepewa kwa siku hiyo hiyo hana mapenzi ya kweli au lengo lake huwa ni kula na kukimbia.
yeroo ebu nielewe kwa hayo.
 
Ulikosea Siku hiz hatuuziwi mbuz kwa mfuko...kuonja kwanza then mnaendelea je kama hujui abebe mzigo,kama una harufu awe clenner?? Ungempa kisha umhendle yaeezekana alikuchunguza akagundua unakakipoozeo hvyo alita akuswitch on kweke
mi nilitaka kumfahamu vizuri kwanza, nafasi huwa natoa kwa mtu mmoja at a time so sikuwa na kipozeo
 
Jmn, kwani hakuwezi kua na mapenzi mpaka watu wafanye ngono? Hapo kasema alikua anamsoma, wajuane kwanza ndo aone kama watafanya au ndo mpaja ndoa, si watu wavamiane kama wanyama, hata wanyama wana njia yao ya kufikia huko kwenye ku du!
atlist umenielewa lol, mapenzi si ngono tu though kwa watu wengine hawataki kuelewa
 
Kwa wakati huu hili ni jambo gumu sana kwa watu kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wasiyafanye hayo mapenzi yaliyo waunganisha mpaka wakafikia kwenye ndoa
Na hili swala halijaanzia kwetu sisi, imetokea kule bustanini baada ya wawili wale uvumilivu kuwa shinda..!
Kama kuna mwenye ushahidi wa yeye kuingia kwenye ndoa na mwenza wake bila kufanya ngono aje hapa nimwapishe atoe ushuda wake.
 
Wajameni mambo mengine yanafurahisha kweli eti unataka kumsoma mtu kwanza kabla haujampa tunda.
Kuna vipimo vya kumjua mtu kweli au tunatumia zile kauli za kimazoea kujipa moyo mapenzi ya siku hizi huwezi kumjua yupi mkweli yule naeomba leo leo yawezekana ndo akawa wa ukweli , ila atakaye kusumbukia sana akaishia kunywa mafuta na kuanzisha safari ya kwenda kwa mwingine, wapo mabigwa wa kuigiza wana mapenzi ya kweli ila mwisho wake huwa maumivu tu.

Hahahahaha jipange bwana!!!!!!!!!!!!!!
 
atlist umenielewa lol, mapenzi si ngono tu though kwa watu wengine hawataki kuelewa

Mapenzi ya sio na ngono ni yale tu unayotoa kwa mama, baba, ndugu na jamaa zako, inje ya hapo ukisha kuwa na yule wa kumwita baby ni full kugegedana tu no more vingine huwa ni vya kusherehesha mapenzi yaendelee kukolea ili kwenye mgegedano uwe unaenda na kutoa kiroho safi..!
 
Back
Top Bottom