Hapa wanatafuta nini kingine? πŸ˜…

Waufukweni, swali lako limenichekesha sana! πŸ˜‚ Hapo sasa ndio utata unapoanzia kabisa. ila wao hawatokosa jibu,
 
Waufukweni, swali lako limenichekesha sana! πŸ˜‚ Hapo sasa ndio utata unapoanzia kabisa. ila wao hawatokosa jibu,
πŸ˜…πŸ˜… kwani tumezoea kukaguliwa silaha, na vitu vingine ambavyo unaweza kutumia kujeruhi watu lakini naona wanapita nazo tu
 
Itakuwa mabomu hayaruhusiwi hapo ila bunduki hamna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…