Hapa WAHARIRI walikuwa likizo...

Hapa WAHARIRI walikuwa likizo...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Soma maelezo (caption) chini ya picha. Gazeti la Mwananchi...

dv5.jpg



Gazeti la UHURU...

uhuru gazeti.jpg
 
Walichoka bila shaka, wakashindwa kuwa makini
 
Gazeti la uhuru ni janga la kitaifa tangu zamani
 
Katika magazeti niliyokua nayaamini kwa tarifa zake Mwananchi ilikua ni mojawapo. Lakini kuna makosa ya kiuchapaji kama hayo niliyakuta karibia siku nne tofauti tofauti na kila mara nikichukua namba za wahariri wao na kuzipiga nakuta aidha hazipatikani au ziko busy wakati wote mpaka naamua kuachana nao na kuendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku hizi hata hamu ya kununua imepungua....wanachapisha gazeti "just like yellow papers" bhana...
 
Nao wanashinda humu humu JF, huwafahamu mkuu?
Wanashinda kukopo na kupesti habari za humu. Sasa huyo dogo kaandikwa yupo 'DARASA LA TANO' shule ya SEKONDARI Ally Hassan Mwinyi.
Ni kukosa umakini kwa wahariri
 
Wanashinda kukopo na kupesti habari za humu. Sasa huyo dogo kaandikwa yupo 'DARASA LA TANO' shule ya SEKONDARI Ally Hassan Mwinyi.
Ni kukosa umakini kwa wahariri
Tena ni kukosa umakini kuliko pitiliza ambako hakuvumiliki....
 
unajua bora ukosee herur


unajua bora ukosee herufi kuliko picha na maelezo sasa huu ni uzembe
 
Back
Top Bottom