tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Kumekuwa na malumbano makali bungeni,kuhusiana na sakata la upotevu wa pesa katika account ya tegeta ESCROW, kikubwa ni naibu spika job ndugai aliposema kila mbunge ajaribu kutoa maoni yake kuhusu sakata ilo,cha kushangaza kila mbunge si CCM wala UKAWA ukisimama kutoa maoni yake utasikia kila mtu aliehusika na wizi uwo abebe MSALABA wake ,sasa mimi nauliza hawa wabunge kwani wanawajua wezi wa hizo pesa ni WAKRISTO? Ujue nimewashangaa sana hawa wabunge wetu