hapa vipi...?

Humo mate na wenye TB ni kuambukizana tuu
dah huu utaratibu sio kabisa kwa nini wasingeweka kwenye hata vikombe vya plastic kuliko huu mtindo
 
huo wanakunywa ni uji? khaaa!

Hahahaha...shem hiyo ni pombe bhanaa...

Kama sikosei ni pombe ya ulezi inaitwa Chimpumu...

Hivyo vifimbo kazi yake kuchuja machicha/makapi...
 
Hahahaha...shem hiyo ni pombe bhanaa...

Kama sikosei ni pombe ya ulezi inaitwa Chimpumu...

Hivyo vifimbo kazi yake kuchuja machicha/makapi...

mmmmh, haya kwa raha zao.
 
Huu ndio Ujamaa na kujitegemea, Changu ni chako na chako ni changu ni ushirikiano wa kila kitu mpaka kwenye mataputapu
 
Ujamaa gani huuu...?

ni pombe ya kihaya hiyo bna, one of my buddies alikua na pics za hivi nyingi tu fro his home za wazee wao wakitumia hiyo kitu. Nothing personal mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…