hapa vipi...?

hapa vipi...?

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
530550_665079216843354_338541614_n.jpg
 
Humo mate na wenye TB ni kuambukizana tuu
dah huu utaratibu sio kabisa kwa nini wasingeweka kwenye hata vikombe vya plastic kuliko huu mtindo
 
huo wanakunywa ni uji? khaaa!

Hahahaha...shem hiyo ni pombe bhanaa...

Kama sikosei ni pombe ya ulezi inaitwa Chimpumu...

Hivyo vifimbo kazi yake kuchuja machicha/makapi...
 
Hahahaha...shem hiyo ni pombe bhanaa...

Kama sikosei ni pombe ya ulezi inaitwa Chimpumu...

Hivyo vifimbo kazi yake kuchuja machicha/makapi...

mmmmh, haya kwa raha zao.
 
Huu ndio Ujamaa na kujitegemea, Changu ni chako na chako ni changu ni ushirikiano wa kila kitu mpaka kwenye mataputapu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom