Hapa vipi tena kwa wale wapenzi a mpira?

Hapa vipi tena kwa wale wapenzi a mpira?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
10169369_1516659438589049_4471017977417226118_n.jpg
10405598_1516540195267640_6648214370820970913_n.jpg
10805582_1516540161934310_1654733237553366237_n.jpg
Young_Africans_SC_%28logo%29.png


Ninawachokoza wapenzi wa mpira kazi ipo hapo...........Nani atakuwa Bingwa mwaka 2015?
 
wewe sio mpenzi wa ukweli mpenzi wa ukweli anavumilia maumivu ya kufungwa egentle ukisia Yanga ndio Bingwa wa Bara utarudi tena Yanga?

Hawa jamaa wamezid kuzingua uongoz hadi uwanjani.
Ukion mke anasumbua fukuza funga ndo mwingine.
 
Last edited by a moderator:
wewe sio mpenzi wa ukweli mpenzi wa ukweli anavumilia maumivu ya kufungwa egentle ukisia Yanga ndio Bingwa wa Bara utarudi tena Yanga?

Kwani Yanga alizaliwa nayo? Mwache aje Msimbazi kupata furaha, wewe baki hukohuko Yanga uzeeke kwa stress kama unalipwa vile.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Mji uko vzr at? Huyu awadhi juma sasa kawarudia tena,
 
Back
Top Bottom