Umewahi kujiuliza why hatuna tume huru ya uchaguzi?
Fanya utafiti then come back utuambie umeona nini
Ukawa ni sawa na mga maji haachi kutapatapaHizo kauli za Ukawa zinaonyesha kuwa wanajua kura zao hazitoshi.
Wanajihami mapema na kutafuta kura za huruma wajazilishie kidogo.
It is simple!,kama wewe ni mwelevu tupe ufafanuzi wa hiyo kauli ya kuwa TUTASHINDA HATA KWA GOLI LA MKONO.
Pia tupe maoni yako kama kuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Ukishindwa kuyajibu haya usiwe unabwabwaja
It is simple!,kama wewe ni mwelevu tupe ufafanuzi wa hiyo kauli ya kuwa TUTASHINDA HATA KWA GOLI LA MKONO.
Pia tupe maoni yako kama kuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Ukishindwa kuyajibu haya usiwe unabwabwaja
Nec ipige marufuku haya matamko ya kucreate tension isiyokuwepo ..vyama vibaki kushindana kwa sera majukwaani mambo ya kura waiachie NEC si mnaiamini make hata rufaa zenu mmeshinda na mmepewa wagombea wenu, sasa mbona mnaiponda tena?
Hilo ni la msingi pia kutokana na kukosekana kwa tume huru ila kwann kusitafutwe njia inayoweza kuzuia hilo wakati nasikia mtalamu wa kuiba kura yupo UKAWA kwa sasa
Je kwa kumtumia huyu hawawezi kupata njia ya kuokoa kura zao zisiibiwe?
JokaKuu
..vyombo vya dola vikiamua kusimamia haki basi huyo unayemuita "mtaalamu" wa kuiba kura atakuwa msaada kwa ukawa.
..lakini kama vyombo vya dola vikiendelea na mwenendo wao wa sasa hivi wa kuwa mawakala wa ccm, ukawa wanatakiwa wahakikishe wanapata kura nyingi sana sana kiasi kwamba hata zikiibiwa bado zitabakia za kutosha kuwapa ushindi.
MBEBA MAONO KAJA
Nmekuwa nikifuatilia hizi kampeni za vyama mablimbali vya siasa ambazo zimeingia kwny wiki ya tatu sasa huku wagombea wa vyama mbalimbali na nafasi tofauti wakiendelea kupeana vijembe ili kuweza kushawishi wapiga kura wao.
Ila nmekuwa nikisikia hili neno likitoka hasa kwa viongozi wa UKAWA kwamba CCM watatuibia kura zetu hivyo nawaombeni mpige kura nyingi ili wakiiba zibaki nyingine.
Swali: Je inamaana kma itatokea CCM kushinda ushindi wao utatokana na wizi wa kura? Au ndio kutafuta huruma kwa wananchi wamuungeni mkono kwa kufikiria kuwa mnaonewa?
moja ya njia nikuiondoa CCM kupitia sanduku la kura kwa watu wengi kujitokeza na kupiga kura kisha kuzilinda kama ilivyo fanyika 2010 kwa baadhi ya wabunge walio taka kuchakachuliwa kura zao eg.nyamagana wenje isingekuwa watu kungangania masha angetangazwa mshindiDaah kama mwizi kashasema nitakuibia na ukajua kweli ataniibia kwanini usijihami kwa kutafuta njia ya kumzuia asiibe au unataka nani akulindie au akuokoe kutokana na kuibiwa?kwenye nyekundu kuwambia watu wapige na kuzilinda ni moja ya njia za kujihami auna lingine?,kwenye blue tunataka wewe mwenyewe na wenzio CCM mtende haki kama democrasia inavyo hitaji
Tume si huru kabisa kila mmoja anajua hilo je kwanini usifanye kitu kitakachokusaidia kuondokana na ukilitimba wa NEC? Au ndiyo kusema mnamtegemea mungu amlindie kura zenu?
It is simple!,kama wewe ni mwelevu tupe ufafanuzi wa hiyo kauli ya kuwa TUTASHINDA HATA KWA GOLI LA MKONO.
Pia tupe maoni yako kama kuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Ukishindwa kuyajibu haya usiwe unabwabwaja