Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Rejea makala yangu hii ya 27/10/2014 siku moja baada ya kusaini mkataba wa Muungano wa UKAWA.
_________________
Athari na faida za mashirikiano ya kisiasa ya (UKAWA) kwa siasa za Tanzania
Jana tarehe 26/10/2014 vyama vinavyounda umoja wa katiba ya Wananchi maarufu kama UKAWA ambavyo ni CUF, NLD, NCCR MAGEUZI na CHADEMA vimetiliana saini ya makubaliano ya mashirikiano ya kisiasa katika nyanja zote za kisiasa nchini. Mashirikiano haya yanafungua upya ladha na aina mpya za siasa za kiswahili katika ukanda huu wa mswahili kamili.
Imani ya Watanzania kwa Upinzani imeongezeka sana tangu dakika nne za jana saa kumi jioni pale kalamu za wakuu wa vyama vinne walipotia saini mambo saba yanayowaweka pamoja kupitia UKAWA. Sasa ule ubaguzi Wa CHADEMA wakristu na CUF waislamu unakufa kifo cha mende, Ukaskazini na ukusini hauna mashiko tena, ni umoja ni umoja na mshikamano tu ndio sauti ya tumaini la mswahili kamili wa uga wa Azania.
Siasa za kijani zimeingia dosari kwa mashirikiano haya ambapo sasa italazimu kubadili mbinu zilizoratibiwa tangu 2010, hii itafanya sasa sasa kutazama vyama vile vya mfukoni vilivyo nje ya UKAWA ili iwe kama nyenzo mojawapo ya kupambana na nguvu mpya ya siasa za upinzani nchini.
Ieleweke kuwa vyama vyote vitakavyoupinga UKAWA sasa ni rasmi vitaonekana ndio washirika wa CCM.CCM wamechanganyikiwa, walidhani wakipitisha kinachoitwa "Katiba Pendekezwa" UKAWA ungekufa.Ni dhahiri viongozi Wa dini wanaunga mkono UKAWA.Safari ya mabadiliko imepamba moto sasa.
Ijapokuwa suala hili la CCM kutumia vyama vilivyo nje ya UKAWA ili kupambana na UKAWA halitakwepeka, jaribio hilo halitafanikiwa, sana sana watazidi kuwekea mazingira mazuri ya ushindi kwa UKAWA maana kwenye karatasi ya kupigia kura kutakuwa na sura chache za wagombea na haitawachanganya watu kujua mgombea wa UKAWA ni yupi! Hkuna namna CCM watakiruka kitanzi hiki!Kikombe hiki lazima wakinywe!
Lakini kila zuri halikosi athari na changamoto zake,na kwa mashirikiano haya pia zipo athari licha ya ujazo huu wa faida za mashirikiano ya UKAWA kisiasa. Vyama vitalazimika kubadili ITIKADI zao ili zilandane, hili litaathiri sana wale wanachama wenye misimamo mikali kwakuwa itikadi ni imani, Naona uwezekano mkubwa wa baadhi ya vyama vya siasa kufa au kutokuwa hai tena,kwa sababu wengi watajikita kuimarisha UKAWA na kuacha vyama vyao,lakini pia kila chama kina amini katika mgombea wao,hasa urais,hivyo ipo kazi kubwa kuwaaminisha wanachama kwamba Dr.Slaa ni bora kuliko Prof. Lipumba, Maalim Seif na kinyume chake.
Mfano, CHADEMA itashindwa kujitanua Zenji na badala yake CUF itaimarika sana. Maeneo mengine kama mikoa ya Kusini CUF itaimarika maradufu.
NCCR ukanda Wa Kigoma itajitanua sana. CHADEMA- iliyoogopwa na baadhi ya waislamu kipropaganda itaimarika maradufu bara. Lakini siku UKAWA ukipasuka, itakuwa ngumu sana kurejesha imani ya watu. Ikiwa UKAWA itapasuka basi utakua ni mpasuko mkuu. Kishindo chake kitazidi anguko la ukuta wa Yericko Nyerere. Na huo ndio utakua mwisho wa matumaini ya upinzani wenye nguvu Tanzania.
Pia kuna hatari ya baadhi ya watia nia kwa vyama vyote kutoridhika na mashirikiano haya hasa yatakapoingia kwenye aina ya mgawanyo wa kugombea uongozi na kuambiwa, 'iachiwe cuf' au kuiachia NLD, iachiwe CHADEMA au kuiachia NCCR. Changamoto kubwa ni kuwa, ni vigezo gani vitatumika kuiachia cuf kigamboni au chadema kinondoni?
Kwamuono wangu wakisiasa, naamini itafanyika review ya performance za 2010 kwenye urais, kwenye kila jimbo, kwenye kata, mitaa na vijiji.
Swali mhimu na la msingi ni kuwa je kigezo hiki cha kutumia takwimu za uchaguzi wa 2010 itasaidia kutambua uhalisia wa siasa za eneo hilo kwa wakati huu?
Matharani, Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umeonyesha mtazamo chanya wenye turufu ya ukombozi, UKAWA Ikiwa namna hivi ilivyo miezi hii na hatua ya jana ya kusaini makubaliano haya, ikawa na dhamira ya ukombozi wa nchi na kuamua kusimamia MGOMBEA urais mmoja ni hakika na kweli isiyotiliwa shaka kuwa wataiondoa ccm madarakani na hili bila shaka alama za nyakati zimesimama huru.
Ninashawika kuweka aina fulani ya mtazamo wa mgawanyo wa majimbo ili kudhibiti bunge.
Kati ya majimbo 189 bara, waamue NCCR iachiwe majimbo 20, CUF 20, na CHADEMA 149. Kule zanz yale 50 CUF iachiwe yote.NCCR ikipewa majimbo 20 haitashinda zaidi ya 10. Na 10 itakuwa kujazia ruzuku. CUF bara hawezi kushinda zaidi ya 5 na 15 itakuwa ruzuku. CHADEMA haiwezi kushinda zaidi ya 70. Mengine itakuwa ruzuku. Na Zanzibar kati ya 50, CUF inaweza kushinda 25. Hivyo jumla UKAWA itakuwa imeshinda( 25+5), 70, na 10. Jumla 110 Kati ya majimbo 239. Na NLD na DP waachiwe majimbo 15
Upinzani kwa ujumla itakuwa na viti 127 kati ya 139. Hii ni zaidi ya nusu, Na hivyo kama itatokea UKAWA hawakushinda Urais, serikali itabidi iwe ya mseto kati ya UKAWA na CCM.
Kule UK ilitokea hivyo na Liberal democratic ilikuwa 3rd force lakini mwamuzi. Ingawa kiitikadi inafanana na labor lakini ililazimika kuungana na Conservative ambayo kinyume chake kabisa policy wise na Ndivyo Labor ilivotoka
"Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao"
Ili kujua haya na mengine mengi, Soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.
Kwa hisani ya #MeyaBonifaceUbungo, vitabu 100 tu, utanunua kwa 56,000/= tu
0715865544 au 0755865544
Na Yericko Nyerere