Hapa UKAWA mnatuaminisha kitu gani?

Hapa UKAWA mnatuaminisha kitu gani?

Mmanu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
2,039
Reaction score
1,296
Nmekuwa nikifuatilia hizi kampeni za vyama mablimbali vya siasa ambazo zimeingia kwny wiki ya tatu sasa huku wagombea wa vyama mbalimbali na nafasi tofauti wakiendelea kupeana vijembe ili kuweza kushawishi wapiga kura wao.

Ila nmekuwa nikisikia hili neno likitoka hasa kwa viongozi wa UKAWA kwamba CCM watatuibia kura zetu hivyo nawaombeni mpige kura nyingi ili wakiiba zibaki nyingine.

Swali: Je inamaana kma itatokea CCM kushinda ushindi wao utatokana na wizi wa kura? Au ndio kutafuta huruma kwa wananchi wamuungeni mkono kwa kufikiria kuwa mnaonewa?
 
Mtu asiye na hoja za msingi huwa anataka aonekane anaonewa
 
Hizo kauli za Ukawa zinaonyesha kuwa wanajua kura zao hazitoshi.
Wanajihami mapema na kutafuta kura za huruma wajazilishie kidogo.
 
Wanamaanisha ccm ni wezi sana na hawawezi kuacha wizi wao

Je na magufuli anavyosema tusichague mabadiliko yatatokea ya libya wakati huo huo anasema natambua watanzania wanataka mabadili na mabadiliko ataleta yeye.
 
Nmekuwa nikifuatilia hizi kampeni za vyama mablimbali vya siasa ambazo zimeingia kwny wiki ya tatu sasa huku wagombea wa vyama mbalimbali na nafasi tofauti wakiendelea kupeana vijembe ili kuweza kushawishi wapiga kura wao.

Ila nmekuwa nikisikia hili neno likitoka hasa kwa viongozi wa UKAWA kwamba CCM watatuibia kura zetu hivyo nawaombeni mpige kura nyingi ili wakiiba zibaki nyingine.

Swali: Je inamaana kma itatokea CCM kushinda ushindi wao utatokana na wizi wa kura? Au ndio kutafuta huruma kwa wananchi wamuungeni mkono kwa kufikiria kuwa mnaonewa?
Umewahi kujiuliza why hatuna tume huru ya uchaguzi?
 
Kwanza hizi kauli ni za kichochezi,tume inatakiwa ipige marufuku,hawa Ukawa wanapandikiza mbegu mbaya kwa wananchi,yaani wameshaproject kuwa kura zao zitaibiwa.Jamani wakishindwa mashabiki zao si watachinja watu kwa hasira kura zimeibiwa,hata kama kiukweli hazijaibiwa.Hatari sana hii
 
Hakuna mtanzania mkamilifu atakayekubali nchi kutawaliwa na mafisadi wa kaskazini
 
..ccm nao are not being helpful here.

..kwa mfano kuna kauli za kibabe kama tutashinda hata kwa goli la mkono.

..au, kauli ya mwenyekiti kwamba ushindi ni lazima.

..sasa ukizingatia kwamba Tume yenyewe siyo huru, na zaidi CCM inavimiliki hata vyombo vya dola, hisia kwamba uchaguzi utatawaliwa na hujuma dhidi ya UKAWA haziwezi kukosekana.

..tume ilipaswa kukemea kauli zile kwamba ushindi utapatikana hata kwa goli la mkono. kwanini wanaogopa?

cc Victoire, Mmanu
 
Last edited by a moderator:
Kwani tatizo liko wapi mtu kuhimiza watu wakapige kura kwa wingi, hofu yenu nini kama watu watajitokeza kwa wingi. Endelea Lowasa kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi
 
Kwanza hizi kauli ni za kichochezi,tume inatakiwa ipige marufuku,hawa Ukawa wanapandikiza mbegu mbaya kwa wananchi,yaani wameshaproject kuwa kura zao zitaibiwa.Jamani wakishindwa mashabiki zao si watachinja watu kwa hasira kura zimeibiwa,hata kama kiukweli hazijaibiwa.Hatari sana hii

Hilo nami linanipa mashaka sana nahisi neno haki limeshawekwa mfukoni hatuoni kama ni tatizo hapo
 
..ccm nao are not being helpful here.

..kwa mfano kuna kauli za kibabe kama tutashinda hata kwa goli la mkono.

..au, kauli ya mwenyekiti kwamba ushindi ni lazima.

..sasa ukizingatia kwamba Tume yenyewe siyo huru, na zaidi CCM inavimiliki hata vyombo vya dola, hisia kwamba uchaguzi utatawaliwa na hujuma dhidi ya UKAWA haziwezi kukosekana.

..tume ilipaswa kukemea kauli zile kwamba ushindi utapatikana hata kwa goli la mkono. kwanini wanaogopa?

cc Victoire, Mmanu

Hilo ni la msingi pia kutokana na kukosekana kwa tume huru ila kwann kusitafutwe njia inayoweza kuzuia hilo wakati nasikia mtalamu wa kuiba kura yupo UKAWA kwa sasa

Je kwa kumtumia huyu hawawezi kupata njia ya kuokoa kura zao zisiibiwe?

JokaKuu
 
Last edited by a moderator:
Kwani tatizo liko wapi mtu kuhimiza watu wakapige kura kwa wingi, hofu yenu nini kama watu watajitokeza kwa wingi. Endelea Lowasa kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi

Sijui kama umesoma ukaelewa na kama umeelewa basi umeingiza ushabiki

Sijazungumzia suala la kuhimiza watu kupiga kura maana hilo ni jambo jema na kwa kila chama wanafanya kazi hyo...kwanini watangulize suala la kuibiwa hyo ndiyo hoja kuu
 
Nmekuwa nikifuatilia hizi kampeni za vyama mablimbali vya siasa ambazo zimeingia kwny wiki ya tatu sasa huku wagombea wa vyama mbalimbali na nafasi tofauti wakiendelea kupeana vijembe ili kuweza kushawishi wapiga kura wao.

Ila nmekuwa nikisikia hili neno likitoka hasa kwa viongozi wa UKAWA kwamba CCM watatuibia kura zetu hivyo nawaombeni mpige kura nyingi ili wakiiba zibaki nyingine.

Swali: Je inamaana kma itatokea CCM kushinda ushindi wao utatokana na wizi wa kura? Au ndio kutafuta huruma kwa wananchi wamuungeni mkono kwa kufikiria kuwa mnaonewa?

Ccm ishajifia kitambo sana
 
nonsense
 
Hilo ni la msingi pia kutokana na kukosekana kwa tume huru ila kwann kusitafutwe njia inayoweza kuzuia hilo wakati nasikia mtalamu wa kuiba kura yupo UKAWA kwa sasa

Je kwa kumtumia huyu hawawezi kupata njia ya kuokoa kura zao zisiibiwe?

JokaKuu

Kuishindanisha ccm na ukawa ni sawa na kutoitendea haki ukawa,maana ccm kwa sasa ipo icu na ukawa wanachanja mbunga
 
Kwani tatizo liko wapi mtu kuhimiza watu wakapige kura kwa wingi, hofu yenu nini kama watu watajitokeza kwa wingi. Endelea Lowasa kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi

Mkuu ccm inawauma vibaya wanapo ona moto unaowashwa na ukawa,kwani wamezoea kila mwaka wa uchaguzi kuona vikongwe tu ndio wanaopiga kura,lkn mwaka huu watisoma namba kwa mbali sana wakati ukawa wakichanja mbuga
 
Nmekuwa nikifuatilia hizi kampeni za vyama mablimbali vya siasa ambazo zimeingia kwny wiki ya tatu sasa huku wagombea wa vyama mbalimbali na nafasi tofauti wakiendelea kupeana vijembe ili kuweza kushawishi wapiga kura wao.

Ila nmekuwa nikisikia hili neno likitoka hasa kwa viongozi wa UKAWA kwamba CCM watatuibia kura zetu hivyo nawaombeni mpige kura nyingi ili wakiiba zibaki nyingine.

Swali: Je inamaana kma itatokea CCM kushinda ushindi wao utatokana na wizi wa kura? Au ndio kutafuta huruma kwa wananchi wamuungeni mkono kwa kufikiria kuwa mnaonewa?

Ndiyo, halafu je ni kweli watanzania wakichagua upinzani/ukawa kwa kuwapigia kura nchi itageuka na kuwa na machafuko kama Libya au itakuwa na maendeleo mazuri kama Kenya, Nigeria, Zambia, nk?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom