Hapa tuseme :" KIMEUMANA"

Walikuwa wanatoka kwenye kampuni yao ya kimasai na jamaa Yao alipigiwa simu kueleza
Kifupi kuwapata ni rahisi maana bado lazima watashirikiana na wamasai wengine na hapo ndio watapotea
 
Walikuwa wanatoka kwenye kampuni yao ya kimasai na jamaa Yao alipigiwa simu kueleza
Kifupi kuwapata ni rahisi maana bado lazima watashirikiana na wamasai wengine na hapo ndio watapotea
Mmasai kumpata rahisi huko kwao sio mjin mkuu. We mpaka sahiv utajua yuko mkoa gani? Na hana ndugu wa kumtrace? Hata mkoa aliotoka tu kuja hapo alipofanya tukio kuujua sio kitu kidogo
 
Madai wenyewe kwa wenyewe wanauana Sana huko umasaini, lakini hutokuja kusikia kesi umeenda Mahakamani. Hawa jamaa Wana utamaduni wakulindana sana
 
Mmasai kumpata rahisi huko kwao sio mjin mkuu. We mpaka sahiv utajua yuko mkoa gani? Na hana ndugu wa kumtrace? Hata mkoa aliotoka tu kuja hapo alipofanya tukio kuujua sio kitu kidogo
Mkuu amini Hawa ni rahisi zaidi kuwakamata kuliko Hawa raia wa kawaida we jipe muda na usikute wako nguvuni mda tu.
 
Saiv anaitafta namanga akifka anaikamata KAJIADO hapo ni kenya namasai hana cha paspot wala nin masai kuanzia sudan kenya mpaka tanzania anaitwa masai
 
Mimi niulize hivi kwanini wamasai wanatembea na sime kwenye mikusanyiko ya watu wengi wala haionekani kama ni hatari

Lakini mtu mwingine asie mmsai akitembea na sime ile ile ya masai huonekana kama tishio la usalama
 
Bro kwa ulivyowachambua mambo ni mawili. Uliishi umasaini au wewe n mmasai. Umewachambua vizuri sana
 
Wakifolenishwa wakapigwa nua na kuroli kidogo na kichura kiasi wenyew kwa wenyewe watatajana
 
Mimi niulize hivi kwanini wamasai wanatembea na sime kwenye mikusanyiko ya watu wengi wala haionekani kama ni hatari

Lakini mtu mwingine asie mmsai akitembea na sime ile ile ya masai huonekana kama tishio la usalama
Kama sisi waislamu ni Sunna kutembea na silaha lakini kujaribu mara moja utaitwa gaidi,Al shabaab, alkaida na majina mengine lakini mmasai hakuna anayejali japo Kwa tukio hili huenda serikali ikaanza kiwafatilia japo ni ngumu.
Serikali ilishawafanya wamasai kama sehemu ya maliasili kwahiyo mashuka Yao pamoja na hayo marungu, sime na fimbo zao ni vivutio vya watalii!
 
Bro kwa ulivyowachambua mambo ni mawili. Uliishi umasaini au wewe n mmasai. Umewachambua vizuri sana
Hapana!
Japo kwa sasa naishi Moshi mjini siwezi sema kwamba hapa ni umasaini. Na pia mimi siyo mmasai.
Mimi ni mzinza toka Biharamulo mkoani Kagera ila nimeishi makao makuu ya mikoa mbalimbali kwa zaidi ya miaka 25.
NI swala la kufatilia tu jamii mbalimbali nazokutana nazo katika mizunguko yangu ya kila siku.
 
Unaambiwa Polisi hawafanyi kazi ikiwa hawakutafuti wewe.. fanya kosa wawe wanakutafuta wewe ndio utajua wanafanya kazi au hawafanyi.

Turudi kwenye mada:

Mmasai kumpata ni simpo sana ikiwa watatumia technolojia.. najua tu wameondoka na simu zao za vitochi na hivi hawawez kukaa siku nzima bila kupiga makelele kuongea na simu.. wanajua walipo ni swala la muda.

Kuna Mmasai alikimbia kufanyiw tohara huku Arusha, akaenda DSM.. alipatikana chap na wamasai wenzie huko huko DSM.

Means kuwapata kirahisi ni kuwatumia wao wenyewe otherwise awe ni mmasai wa mchongo.
 
Wamasai maliasili ya taifa
Imebidi nicheke
 
Illiterate masai Huwa ni wagumu sana kuelewa...miaka ya nyuma nilipanda daladala hapa dar kipindii icho nauli ilikua imeongezeka shilingi mia..

Konda ALIPO mdai masai pesa masai haelewi anasema yeye Kila siku analipa 500 ugomvi ukawa mkubwa masai anada apewe chenchi kamili... Masai illiterate ni watu hatare sana hasa mkitofautiana maelezoo.
 
labda wangemuua samuya ndio wangepatikana nadhani hao ndio watumike kuua wauaji wooote wa oktoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…