Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
😄😄😄
Alimtaja na akasema kuwa ni swali lake.Msikilize muuliza swali hapo mwanzo anapoanza kuuliza swali.Pia mwangalie mzee baada ya kutajwa jina lake alianza kuchukua notes.Mzee alikua hajaelewa kama ameulizwa yeye.
badae alimtaja mseveni jamaa akahisi yeye kasifiwa na swali liko kwa mu7Alimtaja na akasema kuwa ni swali lake.Msikilize muuliza swali hapo mwanzo anapoanza kuuliza swali.
hahahaha acheni ujinga wenu mzee kasha sema yuko vizuri kwa kimombo japo shahidi zinaonesha anasua sua basi tukubali tu
Kwa hiyo mkuu unamaanisha hatujapigwa?badae alimtaja mseveni jamaa akahisi yeye kasifiwa na swali liko kwa mu7