Hapa South au Kinesi?

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,226
17,804
20106513_1407568419319819_8261792198635802028_n.jpg
 
Hiyo misemo ya kwenye khanga waachie wakinamama.
Mbona wewe unaleta umbea wa kina dada...inaonekana haja yako ipo karibu sana yaani ukiona kichaka unataka kujisaidia

Sasa hapo tatizo nini kwa akili zako za kichura, unataka uone majani ndio ujue tupo kwa madiba...umeshaambiwa pambana na tatizo lako la kufuga vyura na uzalishaji wa mbu pale kwenye bwawa lako la kaunda

karma is a bitch
 
Sasa huo uwanja gani huo, si afadhari wangebaki Mtoni Mtongani tu
 
Kwani Mtoni mtongani kuna uwanja?

Au unataka tujue ndio unapoishi

NB:napaheshimu sana mtongani maana nimewai kuishi kwa Azizi Ally
Kuna ground moja hatari sana linaitwa uwanja wa sifa...kitambo sana hiyo nilikuwa napiga full beki matata sana

karma is a bitch
 
Back
Top Bottom