Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

naomba niandike kwa herufi kubwa ili nisomeke vizuri;
NDUGU WA JF, KWA JINSI NAVYOLIELEWA JUKWAA HILI NI KWA AJIRI YA WATU MAKINI NA WENYE MITAZAMO CHANYA. PIA NI KWA WATU HODARI WA KUFIKIRIA NA KUJIBU HOJA ZENYE UJUMBE UNAWEZA KUONGEZA HATA UFAHAMU KWA WATU WENGINE. LAKINI SIKUJUA KUWA KUNA WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUJA HUMU KWA AJIRI YA UBISHI HATA USIO NA MAANA HATA KIDOGO. HIVI HUYU JAMAA ''CHRIS LUKOSI'' NI AKILI ZAKE ZINAMTUMA KUANDIKA UBISHI KAMA HUU AU ? AAAGHHHH, NAHISI MPAKA KUTAPIKA.
Mkuu, wakati watu wanamshangaa William Malecela, walifikiri hakuna kibuyu kama yeye kwenye siasa za CCM.daaa wajinga wengi dunia hii duuu!
Mkuu, wakati watu wanamshangaa William Malecela, walifikiri hakuna kibuyu kama yeye kwenye siasa za CCM.
Kumbe watu walikuwa wamekosea....huyu jamaa ni kichwa mchuzi kabisa.
Mkuu, huyu jamaa alikuwa CHADEMA, kwa mujibu wa Post moja ya Dr. Slaa, anasema last year jamaa alikuja bongo, akamtafuta Dr ili waongee mambo mbalimbali ya Chama. Alimueleza Dr. Slaa kwamba kuna tender anaitafuta serikalini lakini wanamsumbua sana, na inaonekana hawataki kumpa japo ame-qualify. Dr akamwambia wewe fuatilia, kama wakitaka kukunyima kwa uonevu na bila kufuata taratibu utueleze tulipigie kelele. Alimueleza pia kwamba awe makini wasije wakamuingiza mkenge.bora ya malecela alipokuwa baharia alikuwa anaakili tatizo alipokuja huku na kuchakachuliwa akili zake kwa kuutaka ubunge!
HV huyu jamaa alikuwa CHADEMA? naanza kuwa na wasiwasi hata na CHADEMA iangalie wanachama wenye njaa na wajinga kama huyu piga chini.