Hapa Sijamuelewa Lukuvi

jiulize waliofika ata zaidi ya mara 3 wamesaidia nini kaka,unajua chanzo cha maghorofa kuanguka?ni nondo chakavu kaka.rafiki wa JK huyo patel ndio mmiliki wa kiwanda cha chuma
 

Aisee..wewe ukikaa,ukilala,ukiamka unawaza viongozi wa CHADEMA tuu..
Hapa mtoa sredi anataka kujua kujiridhisha kuwa Lukuvi ametumia sababu za Kitaalamu au ni hofu kwa kuwa Injinia ni yule yule....ni Kama meli ya Bakhresa ipate ajali basi upige marufuki meli zote za Azam kusafiri...
Sasa sijaona connection hapa na CHADEMA mpaka uwataje viongozi wake na kumchagulia mwanzisha mada chama kutokana na hisia zako!
 

lukosi najaribu kudhibitisha kile nilichokiona kwenye uzi mmoja mwana ccm akikumwagia sifa kwa kazi kwa kazi unayofanya.nikushauri ogopa sana mtu unayemtukana yeye akujibu.wakati mwingine cyo lazima umtusi mtu ili upate umaarufu.huliyowatusi hapo(slaa na mbowe)hawana uhusiano na andiko ulilochangia.
Busara za wahenga zinatufundisha kuwa usimdharau wala kumtenda vibaya maana hakuna aijuaye kesho tafakari kisha chukua hatua.
 
Hivi kumbe nimetukana mtu hapa?
Nimetaja jina la mtu?
Usipende kujikomba namna hii
Wangoni hawako hivyo
 
kuna sehemu mtoa mada kajiita yeye ni mpinzani????
kukaa kote ulaya bado hujafunguka akili tu
umeshindwa kuelewa alichoandika ufahamu wako una mashaka...
Hata hivo Mchora ramani anahusikaje katika hili janga
labda LUkuvi atupe ufafanuzi hapa?
na lazima kuwe na ushauri wa kitaalamu kama majengo jirani yabomolewe na sio kukurupuka tu kisiasa
yeye anatoa vipimo, kujenga ni kampuni nyingine nk.


 
Mtikisiko uliotokea baada ya jengo hilo kuanguka,umesababisha nyufa kwenye jengo lingine la ghorofa 15, na bahati mbaya zaidi mkandarasi ni huyo huyo.Upo hapo?
 
jiulize waliofika ata zaidi ya mara 3 wamesaidia nini kaka,unajua chanzo cha maghorofa kuanguka?ni nondo chakavu kaka.rafiki wa JK huyo patel ndio mmiliki wa kiwanda cha chuma
Duh! ama kweli majungu hayajengi.Hapa sijui na ''wewe uanzishe thread yako ya nondo chakavu''.
 
Kwa majibu haya, muda si mrefu utakichafua zaidi chama chetu cha mapinduzi.Sijui uhamie UDP ili uwe afisa habari wa chama hicho ili na chenyewe kianze kusikika.
 
Ukiona hivyo uje ni kiwewe wanaogopa CDM. maana hawajui ni kipi watasema, in short wanataka kuonekana wanafanya kazi
 

Ni ushauri mzuri, Tunasubiri Utekelezaji. Tz hatuna shida na matamko na maagizo shida ni utekelezaji
 
Mbona unakurupuka ex-mgambo?? Libomolewe kwa sababu zipi??

Hatupaswi kumshutumu kwa tamko hilo, huenda anaweza akawa anajua kilichoendelea na anataka kuokoa fedha za watanzania kwa kuunda kamati
 

Mkuu kama busara zimekuishia jaribu hata kuazima za chura. kwani mleta uzi ameleta hoja kwa kufuata itikadi za vyama? tujadili mada na sio watu ambao hawahusiki. umeanza kuwa le mutuz, kama vipi hamia facebook ndo kuan watu wa aina yako.
Kwani jengo lilijengwa na CDM? hata hivyo kama unahitaji kuingiza siasa ni bora ukaenda lumumba maana hilo jengo lililodondoka lina mkono wa diwani wa CCM
 

Kwa hiyo ungependa Mbatia atoe amri ya kubomolewa?
 

Si unawajua viongozi wa siasa za matukio! sasa eti wako bize wanakusanya data za ajali ili waitishe maandamano makubwa!
 
Hatupaswi kumshutumu kwa tamko hilo, huenda anaweza akawa anajua kilichoendelea na anataka kuokoa fedha za watanzania kwa kuunda kamati

Ndugu yangu mmoja aliwahi kusema tatizo la wanasiasa wa Tanzania ni kujifanya wanajua kila kitu.. Am not questioning his motives, ninachotaka kujua ni nani amesema hilo jengo si salama?? Ni wahandisi gani waliofanya uchunguzi wa kisayansi na kusema hilo jengo sio salama kwa watu kutumia??
 

Zaman nilikuwa nakuheshim lakn siku iz heshima yako imeshuk sana. Anywah hata hivo Lukuvi ni waziri ofis ya WAZIRI MKUU, sio OFISI YA RAIS.
 

Ndugu yangu unaoneka kichwa box au wewe ni gazeti.Hoja ya lukuvi na wapizani ina husu nn mbona mbatia amekuwepo siku zote za kuokoa si mpinzani huyo?Pia sual la kubomoa ni la kitaaluma, je lukuvi malekezo ya kitaaluma ya ujezi kwa wakati ule aliyapata wapi?mpka hapa hatujui taalauma yake zaidi ya uana siasa uchwara wa kisomo kidogo kama chako cha upolisi pori.Punguza umbeya na unafiki kwa mausuala ya kitaaluma, tuwaachie wanataalauma watuelekeze na si maelekezo ya hisia ya kianasiasa kama kichwa box mwenzako lukuvi.
 
Ukitaka kufuatilia matamko na maelezo ya wanasiasa wa Tanzania (CCM, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi, UDP. nk) unaweza ukaugua kichwa kwa kufikiria zaidi.

Wanasiasa wa Tanzania wako mahili katika gaffe and breach of etiquette.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…