Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Asitutishe! Kwahiyo kama me naipenda Mamelodi tokea utoto na imekuja Tz why nisiende uwanjani nimepiga Uzi kuiunga mkono timu yangu?

Huyo kiongozi akili ndogo sana..

Ndo wale Nay wa mitego kawachana
 
Hii ni influence ya wale washamba washamba maana ndiyo hao juzi kati walipiga watu kwenda kwenye mechi bila kuwa na jezi yao. Huu ni ulimbukeni.
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Wewe jamaa ni mwehu kweli..Jemedari said ameshakuwa mpaka na cheo TFF .kipindi Azam anachukua kombe la Ligi kuu Jemedar said ndio alikuwa msuka mipango na kiongozi pale kwenye timu ya Azam usirudie tena kuandika usichokijua..
 
Nyie ndio walewale ma mbulula, Jemedari pale Tff aliwekwa na Salum Madadi mtu wa kwao uko.
Ao ndio wamei hodhi Tff mpaka leo, Madadi ana miaka karibia 70 yupo pale eti mkuruvenzi wa nini sijui alafu tunategemea tupige hatua.

Uyo mzee yupo tangu FAT wakati akiwa kocha wa Karikoo Lindi ao wakina Jemedari na katibu wasasa Wilfred kidao ndio walikua wachezji wanao pata namba kwa kupalilia mikorosho ya uyo mzee.

Ndio maana barua za kutoka Caf/ fifa au maamuzi nyeti utakuta Jemedari saidi anakua mwandishi wa kwanza kupata taarifa ambazo saanyingine ata vilabu bado havija utangazia umma yeye Jemedari anazivujisha mitandaoni.

Ni mambo ya kishamba na kujuana/ ujuaji usiozingatia weredi unao leta mkanganyiko katika mpira wetu leo.
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Wewe jamaa either una mtindio wa ubongo au ulivyozaliwa hujalia ukatiwa kidole ndo ukalia.
2010/11 Simba anacheza na Mazembe hapa kwa mkapa Simba anakufa 3-2 game inayomtoa samatta anaenda mazembe Yanga walivaa mashuka au sidiria ya mkeo.
Au wakati huo ulikuwa kwenu Tandahimba
 
Tunawajua Sana , lengo hapo eti Sisi mashabiki WA Simba tuishangilie Uto pia, haiwezi kutokea .Simba walipoandika kwenye jezi visit Tanzania hakuna kiongozi aliwahi kupongeza Kwa hilo.Mhamasishaji uchwara wa Yanga alipoandika mitandaoni kuwashauri wapinzani WA Simba kuwa Simba inapuliza sumu vyumbani ,hakuna kiongozi aliwahi kukemea. Uto sio timu ya taifa kama ilivyo Kwa Simba.
 
Wewe jamaa either una mtindio wa ubongo au ulivyozaliwa hujalia ukatiwa kidole ndo ukalia.
2010/11 Simba anacheza na Mazembe hapa kwa mkapa Simba anakufa 3-2 game inayomtoa samatta anaenda mazembe Yanga walivaa mashuka au sidiria ya mkeo.
Au wakati huo ulikuwa kwenu Tandahimba
Ndugu mbumbumbu unafahamu kua wakati Yanga anacheza mechi yake ya mwisho katika makundi na anatoa sare ya 3 -3 1998 na Raja Casablanca pale Taifa Baadhi ya mashabiki wa Simba walivaa jezi za Raja zile nyeupe?
 
Wapumb.avu kama nyie hata kuwajibu ni aibu kwangu. 1998 Yanga walicheza Ligi ya mabingwa Dar uwanja wa Taifa?
Watoto waliozaliwa 2000 mana shida sana. Games zote za makundi zilichezwa Mwanza CCM kirumba bwege wewe.
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Ila Jemedari Said ni mbwiga wa mbwiga aisee.
 
Back
Top Bottom