jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 640
NdioHiki cha Arusha original.....
Mkuu ludia tena kuandika.Kuna mda namtafakari huyu mama ninapata uchungu sana,,, na wakati ninabaki ninamshangaa tu"simwelewi kabisaa",,hivyo nafurahi SASA Kwa yote yake.
.....turudi kwenye mada(soma neno?) je wewe hapo ulipo na sasa jirani yako amesema Nini kuhisi wewe!? Kama Mimi ndivyo kweli nilivyosemwa wewe je?!
Hitimisho, "upo tayari umpatie uhusika wako ulioubakiza nae pia akupatie ?!?
Dah!Aiseeeh!!
Kabala ya hitimisho tutafakai neno:Hitimisho,
tafakari ya Neno, inaweza kusaidia kuelekeza mwelekeo
Ludia-❎Mkuu ludia tena kuandika.
Dabo kiki jamaa yangu!Visungura vimepanda kichwani.
UongoKwanini unaficha ficha mambo
Visasi,vinyongo,v.k havisaidii tupendane tu Kwa mda huu mchache tuliopatiwa.Mkuu ludia tena kuandika.