tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,115
Kila jambo analolifanya mkuu wa nchi ni habari na ni somo! Nimeshuhudia sherehe za uhuru nyingi na pia sherehe za kitaifa nyingi sana. Na pia rais wetu msataafu alikua mwanajeshi yamkini anajua kupiga kwata kuliko rais wetu magufuli. Lakini alitembea kawaida akikagua gwaride.
Twende kwenye hoja. Kwani kukagua gwaride inatakiwa utembee vipi?
Binafs nimezoea kumwona kiongozi yeyote hata katika nchi tofauti kupita karibu na wanajeshi na kukagua walivosimama kuashiria kukagua ukakamavu wao sasa hapa rais wetu alikua anakagua au apiga kwata?
Kutokana na mantiki ya kukagua umahili wa wanajeshi husika ilipelekea kusoma story za nchi ya ujeruman chini ya dicteta hitra. Kwamba ili kunyosha msitari wa gwaride alinyoosha na risasi japo sijui kama kweli. Ila nikajifunza kitu kimoja kwamba kwenye gwaride kama hilo haitakiwi kuwakuta watu wazembe wazembe na wenye matumbo aka vitambi.
Sasa rais wetu upande huu kuna mlinzi wake upande huu kuna mkuu wa majeshi yeye yuko kati na kainua kichwa juu pasipo kutizama anaowakagua akipiga gwaride balaa! Ni kama waliopemben yake ndio ilitakiwa wakague japo wao hawakufanya hivyo maana si kaz yao. Alikua anakagua au anafundisha?
Tunajifunza nini kwa alivyofanya rais wetu? Kuna haja ya wanajeshi kujipanga na kukaguliwa?
Binafsi sijamwelewa naomba kueleweshwa. Angalia video mwenyewe