Hapa Pinda nini tena

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,355
Reaction score
95,749
Weka japo sentensi moja tu katika hii picha
 

Attachments

  • pinda na pandri.jpg
    107.4 KB · Views: 1,148

Sina uhakika kama ni sawa kwa pinda kufanya anacho kifanya...
 
Aibu sana!!! Haina maana yoyote hata kama ni ukatoliki maana Pinda sio PM wa Kikatoliki.
 
aibu tupu, hana washauri. Mtu mzima tena pm kupusu pete ya mtu ni aibu,
nimejua kumbe wengi huwa mnabisha tuu kwa vitu hata msivyovielewa haaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…