Hapa Pana Dosari!

Hapa Pana Dosari!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
NEMBO-YA-MIAKA-50.-ENGLISH.jpg
 
mwaka 1961 hapakuwepo na taifa linaitwa Tanzania Mainland hapa Duniani. Ndiyo yaleyale ya Warioba aliyosema. Hili hata Mulugo analitambua he he he!


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kumbukumbu zangu ni kuwa Tanzania haijapata uhuru na pengine kama ni kutawaliwa na wakoloni, mkoloni ninayemfahamu anaitwa CCM
 
Itabidi kila mkoa ijulikane tarehe ya uhuru wake. CCM wanasema sio nchi hiyo na ule Mkoa wa Zanzibar uliyojitangazia unchi ni wasaliti kwa mikoa mengine!
 
Vyovyote vile itakavyokuwa TUNAITAKA TANGANYIKA yetu kwa heri au kwa shari
 
Back
Top Bottom