Nimeshakujua mkuu, wala kuficha sura hakujasaidia kitu, watu tunajua teknolojia ya kufunua vilivyofunikwa...............
Siku nikikuona mtaani nitakupa Hi, kwa jina la Kadoda11 ndio utashangaa!
Nimeshakujua mkuu, wala kuficha sura hakujasaidia kitu, watu tunajua teknolojia ya kufunua vilivyofunikwa............... Siku nikikuona mtaani nitakupa Hi, kwa jina la Kadoda11 ndio utashangaa!
ha ha ha.naisubiri hiyo siku.sio adobe photoshop wala illustrator inaweza kuondoa hicho kiduara cheupe na ku-display sura yangu.labda uniambie utatumia softwere zinazotumiwa na watu wa vitengo vya kijasusi kama TISS -kama wanazo hizo softwares.😛eep: