Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 413
- 178
Lazaro Nyalandu alipokuwa akitangaza nia amesema "katika kipindi yeye akiwa waziri wa maliasili idadi ya tembo imeongezeka kwa asilimia 90".
Nyalandu aliingia ofisini 20/01/2014 mpaka anapotangaza nia ana miezi 16 tu. Tembo hubeba mimba miezi 21 kwa hiyo tembo wote waliopewa mimba siku.
Nyalandu anapewa uwaziri mpaka sasa wote hawajazaa kwani mimba zao zina miezi 16.
Mwaka huu tutasikia mengi!
Na Mughenyi