sina hakika kama nkrumah aliwahi kuitembelea tanzania maana aliiongoza ghana kwa muda mfupi toka mwaka 1958 hadi mwaka 1965 alipopinduliwa na jeshi.aliishi uhamishoni nchini guinea hadi alipofariki mwaka 1972.hivi ndio vichwa vya africa ila nadhani kwame alikua zaidi ya mwalimu. Hivi kwame alishawahi kuja tz?