Hapa nina full stress

MKuu namimi huyo dem alisema apendi ndom halafu muda wote yuko na nyege daah yule mtoto ana laana qummake
 
Gono ma ngoma havina uhusiano.Mpeleke binti yangu naye hospital akatibiwe otherwise nitakuroga
 
Mbona hii iko sana hasa zahanati, vituo vya afya na hospital za vijijini, wala hawana habari ya privacy kabisaa. Lol
Na hapo hata sio vijijini mkuu ni maeneo ya sinza hapo
 
Mwamba akijikuta ana umeme na hizi tozo sijui itakuaje
 
Ukiwa na genye la muda mrefu ndio kukurupuka kunaanziaga hapo , Asilimia kubwa ya waathirika wa VVU na STI's ni kutokana na kutofanya mapenzi muda mrefu nanakuwa very frustrated mkipata maambukizi.
Kijana Ukimwi huna ila kapime ujiondolee hizo stress
 
Kabla ya kupima, jiandae kisaikolojia kwanza, kama jibu litakuwa ndio utafanya nini?
 
Pole Sana mkuu siku zote Ngono zembe sio salama kabisa Get well soon.

Naimani dozi ya sindano utapona vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…