Mangaline
JF-Expert Member
- May 19, 2012
- 1,045
- 222
Wazaznibar sijui wanajivunia nini, muungano ni kwa faida yao hamna hata kitu kimoja wanachowazidi bara na zaidi elimu wamekataa kabisa, umeme wanategemea from bara. ardhi yao ndogo, karafuu zao lao kuu siku hizi halina dili, kama wanajidai na magofu ya utalii hata bara yamejaa kibao waende ujiji, kilwa na sehemu kibao yapo. Ngoja waachiwe afu waone wataenda wapi na kanchi kao.
Ni heri kufa njaa ukiwa HURU, kuliko SHIBE UTUMWANI. Wazanzibari wanataka UHURU, hata kama watapata matatizo. kwa nini mnawalazimisha muungano????????????????? HUU NI UBAKAJI.