hapa ni Zanzibar ama ni Iran? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hapa ni Zanzibar ama ni Iran?

Discussion in 'Jamii Photos' started by i pad3, May 27, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  muungano ufe At4NPC6CIAEToKH.jpg large.jpg
   
 2. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,167
  Likes Received: 3,371
  Trophy Points: 280
  Wazaznibar sijui wanajivunia nini, muungano ni kwa faida yao hamna hata kitu kimoja wanachowazidi bara na zaidi elimu wamekataa kabisa, umeme wanategemea from bara. ardhi yao ndogo, karafuu zao lao kuu siku hizi halina dili, kama wanajidai na magofu ya utalii hata bara yamejaa kibao waende ujiji, kilwa na sehemu kibao yapo. Ngoja waachiwe afu waone wataenda wapi na kanchi kao.
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kumbe Iran ina waafrika wengi hivi!
   
 4. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Dah, kweli hiyo balaa!!!!!!!!!!1
  jamani JK na Shein wako wapi, watoe maelekezo basi tujue kulikoni, kama vipi muungano ufe tu,
  Zanzibar isiwe ni koloni la Tanganyika wajameni
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huwa napata taabu sana kuuelewa utawala wa Nyinyiem kwa nini hawataki Muungano kujadiliwa? hali hii sio nzuri hata kidogo hii ni hatari
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Lao moja hao, kopo na mfuniko,wana wanachokijua nyuma ya hzi vurugu!
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hapo ni Jamhuri ijayo ya Kiislamu ya Watu wa Unguja na Pemba. Halafu baada ya hapo Wapemba nao watajiondoa na kuunda Jamhuri yao ya Kiislamu ya Wapemba.
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Wazanzibar wanatakiwa walaumu chama cha mapinduzi kwa kuwafikisha katika hali waliyonayo sasa!!!wamejikuta mapinduzi hayajalipa kama ilivyotegemewa,hii yote inatokana na utawala mbaya wa ccm.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hao ni wapemba walio zamia..
   
 10. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hivi kuna raia yeyote aliye jeruhiwa kwa kupigwa risas au hata aliyekufa? Mana huku bara tukiandamana kdogo tu tunapigwa risasi hadi kufa na hawa sisiem!
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...wasioutaka muungano ni waislam au wazanzibar!?
   
 12. P

  Percival JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  ' <!-- google_ad_section_start -->Re: hapa ni Zanzibar ama ni Iran?'<!-- google_ad_section_end -->

  Hamjui historia ya taifa lenu ? Washirazi asili yao wapi ?
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Niambie hiyo dress code iliyoandikwa kwenye katiba yenu mpaka ZnZ ifananishwe na Iran, mbona mnachuki zenu binafsi nyie, its not secret kuwa ZnZ more than 80% ni waislamu na hilo ni vazi lao sasa makosa yako wapi?

  Pumbaaaaaaa
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo patakuwa Irani, naangalia mabango wameyaandika kwa kiarabu, so bila shaka hapo ni Irani , ingekuwa afrika mashariki wangetumia Kiswahili...
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Dubwasha la Muungano linawapa ulaji watu fulani fulani, kwa hiyo hawawezi kuruhusu ujadiliwe kirahisi. Lakini kwa sasa, haswa lile WESE lilopatikana Pemba watakubali tu!
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mimi hapo ndipo ninapochokaga serikal yetu kwani kwanini rais asimwambie mkuu wa majesh aende akawaadabishe? au atakuwa ametumia nguvu nyingi sana? ila inaumiza sana sijui wakristo huko wanaish vipi.

  To me wapewe kisiwa chao kuliko kiigharimu amani ya taifa letu. swala la ulinzi bara tuimarishe mipaka yetu tu. wao wanajua watapata misaada kutoka kwenye nchi za kiislam lakin watabebwa hadi lini? itafika wakati hata hao waarabu watachoka kuwahudumia.
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wapewe wanachokitaka full stop
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wanahaki ya kufanya hivyo Muun wamij mijizi nani anautaka? Inawezekana hawaendelei sabababu yetu!
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  pia itaibuka jamhuri ya KOJANI
   
 20. a

  anin-gift Senior Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ila tusisahau ule mgogoro wa pemba na unguja bado upo ulifunikwa tu na kauli ya Pinda kuwa znz sio nchi, na madai ni yaleyale kuwa pemba inanyonywa na unguja na maadamu watajitenga nasi wakimaliza watapakua kiporo chao, so nina mashaka hali itakuaje kule kwao maana wote wana misimamo mikali.
   
Loading...