Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
1.JPG
 
Sasa Mbona MNATUCHANGANYA Tu? Mara Iringa Mara Mbeya ILA Hamjakosea Sana Kwani Inaonyesha Nyie Wote Ni WAKIMBIZI Mliokulia NYARUGUSU.
 
Mbeya na picha hii unaipata unapokua unaenda Chunya ukasimama pale juu,, yaani mbeya ni janga lingine la kuonyesha uzembe wa serikali katika kusimamia mipango miji...
 
bangi mbaya sana mkuu
dodoma unaijua vizuri wewe ?
mbeya hiyo mkuu na picha imepigwa ukiwa unaelekea mlima LOLEZA

Yaani kwa kuwa labda nimekosea jibu basi mimi natumia bangi? K.m. kweli wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom