Songíto;3801765 said:hili linaitwa daraja la Howrah linakatisha katika mto Houghly. Daraja lipo huko magharibi mwa Bengal nchini India. Inasemekana watu zaidi ya 4,000,000 na magari zaidi ya 150,000 hukatiza daraja hilo kwa siku.
kwa urefu hivi ndivyo linavyoonekana
View attachment 52880
sources:
1. Kolkata Photos - Howrah Bridge Photo Kolkata
2. Howrah Bridge - Wikipedia, the free encyclopedia[/QUOTE
THANX