aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 320
- 524
Chuo Kikuu cha Kilimo Tanzania
Upo ofisini kwako Leo bibie?Usangi Mwanga
sio mologolo ni mlogoloMologolo
Haya ndio matatzo ya kuja na mistress jf .. Umetoka huko na mistress yako ya maisha unabwaka hapa..Maswali mengine ya ajabu kweli. Hii picha umeitoa wapi mpaka utuulize "hapa ni wapi". Inaelekea watu wengine hawana kazi za kufanya
Mkuu tukiona hayatuhusu na hatuyaelewi huwa tunapitagaUtimamu wa akili unajionyesha hata kwa kile unacho post hata kama huvunji sheria
Haya ndio matatzo ya kuja na mistress jf .. Umetoka huko na mistress yako ya maisha unabwaka hapa..

Ndiyo mpendwa.. Karibu.Upo ofisini kwako Leo bibie?
Umechelewa kujibu bana nishafika hom Labda mpaka j3Ndiyo mpendwa.. Karibu.
Poa Ninakusubiri...Umechelewa kujibu bana nishafika hom Labda mpaka j3
Maswali mengine ya ajabu kweli. Hii picha umeitoa wapi mpaka utuulize "hapa ni wapi". Inaelekea watu wengine hawana kazi za kufanya
mzee kumbuka hili ni jukwaa la picha lakini.Utimamu wa akili unajionyesha hata kwa kile unacho post hata kama huvunji sheria
Sasa wewe ungekuwa busy kiasi hcho ungepata wapi mda wa kucomment?Maswali mengine ya ajabu kweli. Hii picha umeitoa wapi mpaka utuulize "hapa ni wapi". Inaelekea watu wengine hawana kazi za kufanya
Mologolo ipo nchi gani mkuuMologolo
Hapa kazi tu