Hapa ni wapi wana JF?

Hapa ni wapi wana JF?

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Hili ni eneo gani?
IMG-20180926-WA0013.jpeg
 
Nadhani ni barabara ya kwenda wilayani Chunya kutoka/kwenda Mbeya mjini.
 
Wengine huwa tunapitaga huko juu angani hatujui barabara za chini
 
Kama sio nchini Tanzania

Halafu watendaji husika wala hawajui kutangaza nchi..

Pazuri na panavutia sana..

Karibuni

Mbeya oyeeeeeee
 
Oooh safi,hivi hizo kona za juu na chini zina majina...zinaitwaje mkuu?
Hapo ni mkoa wa mbeya hiyo barabara inaenda wilayani chunya na hayo mabonde ni yausangu yanayoonekana huko chini
 
Back
Top Bottom