hahahahaaaaa....!!. asante sana kwa picha. tunaomba story ifuate. mia
kaka hapo panaitwa KICHEBA ni maeneo ya muheza tanga hapo panawaganga wa kienyeji kama 35 wa matatizo tofautitofaut.kwa kifupi hapo ni kicheba kati na mtu maarufu hilo eneo ni Abeli jamaa mmoja alikua boxer.ehee lete story mkuu

Dar Dar tuuuuuuuuu!!
Hapa ni Kicheba mnarani wilayani Muheza
kaka hapo panaitwa KICHEBA ni maeneo ya muheza tanga hapo panawaganga wa kienyeji kama 35 wa matatizo tofautitofaut.kwa kifupi hapo ni kicheba kati na mtu maarufu hilo eneo ni Abeli jamaa mmoja alikua boxer.ehee lete story mkuu
ingawa upo sahihi lakini inaonekana umeibia majibu,