Hapa ni wapi? Story kufuata

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
 

Attachments

  • 2012-08-23 09.47.22.jpg
    265.2 KB · Views: 286
Umepotea tutoe taarifa polisi!???
 


nimeongeza picha.
 
unahitaji msaada kuweka picha?!

wewe hiyo picha unaweza kuwa unatangaza mgogoro na kenya, angalia vizuri hiyo anuani, kama vipi ngoja tumalizane na joyce banda kwanza.
 
TAARIFA:

Nimehujumiwa na appl. Ya tapatalk imenihujumu kwa ku-hold properties za img. Nawasiliana nao kisha nita-come again.

ONYO.

Kuna dalili za watu kuomba miongozo.
Tuko nyuma ya muda kwa hiyo haturuhusu.
 
TAARIFA:

Nimehujumiwa na appl. Ya tapatalk imenihujumu kwa ku-hold properties za img. Nawasiliana nao kisha nita-come again.

ONYO.

Kuna dalili za watu kuomba miongozo.
Tuko nyuma ya muda kwa hiyo haturuhusu.

Kumbe we muhuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…