Hapa ni wapi ndani ya mkoa wa Kilimanjaro?

Hapa ni wapi ndani ya mkoa wa Kilimanjaro?

Huo ni mto marangu unaacha njia ua kupanda mlimani kilimanjaro (kama unaenda kwa mrema)kwenye kike kidaraja baaada kuacha marangu (standi)hii wajina[emoji23][emoji23][emoji23]alafu unapinda kushoto hosptal ya marangu unaiacha kulia mbele sasa ndio nakuta hilo jengo
moja ya kitu utakachokutana nacho ukiwa unaelekea kwenye hilo jengo. View attachment 1313711

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilema ni kigodbless lema kidogo dogo au?,hilo jengo kubwa linatisha ni la nini Rabboni
 
Back
Top Bottom