Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Utalii wa ndani au ndo kwenuSikuingine utaliwa hela yako. Utalii wa ndani tumefanya sana
Utalii wa ndani au ndo kwenuSikuingine utaliwa hela yako. Utalii wa ndani tumefanya sana
Mkuu nimesoma huko. Karibu IringaUtalii wa ndani au ndo kwenu
[emoji848]Picha ya kwanza ni jengo la Kilema Primary School, ebu post na picha ya that old Roman Catholic church hapo hapo juu yake. (Hiyo 10,000 mpe mjamzito Yeyote hapo jirani yako).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa possibly ni kati ya Njia ya kutoka Himo kupandisha Marangu not sure anyway....kwa hili
Ina maana hawana hela ya kuyafanyia ukarabati hayo majengo ama mpaka kwa msaada wa WaitalyKilema hapo dah, nimesali ile kanisa ya kikoloni miaka shazi sana.
Hayo majengo yako imara japo mwenekano wake ni wakizamani ila ni kwasababu ni ya miaka mingi iliyopita pia ni kama kivutio cha utalii. Yapo mengi sio hilo tu kuna la Kibosho, Kirua n.kIna maana hawana hela ya kuyafanyia ukarabati hayo majengo ama mpaka kwa msaada wa Waitaly
Sent using Jamii Forums mobile app
Beautiful!moja ya kitu utakachokutana nacho ukiwa unaelekea kwenye hilo jengo. View attachment 1313711
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio wa kwanza kupatia mkuu.Picha ya kwanza ni jengo la Kilema Primary School, ebu post na picha ya that old Roman Catholic church hapo hapo juu yake. (Hiyo 10,000 mpe mjamzito Yeyote hapo jirani yako).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna muujiza ulitokea, Alionekana Bikira Maria, kipindi mama mwenye ujauzito anaelekea kujitungua.moja ya kitu utakachokutana nacho ukiwa unaelekea kwenye hilo jengo. View attachment 1313711
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kilema mkuu, kanisani.Atakayeweza kutambua hapa ni wapi, natoa Tsh. 10,000/=
Chini nitakuwekea tena picha kurahisisha utambuzi zaidi. View attachment 1313696View attachment 1313698View attachment 1313700
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majengo yako imara japo mwenekano wake ni wakizamani ila ni kwasababu ni ya miaka mingi iliyopita pia ni kama kivutio cha utalii. Yapo mengi sio hilo tu kuna la Kibosho, Kirua n.k