Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Nchi gani ili iweje?
kwaza; usitupotezee muda kuna mambo mengi mazito yanayotishia kuyumbisha mustakabali wa nchi yetu tunahitaji kuyajadili, Sasa kutuuliza kitu ambacho jibu lake unalo unamaanisha nini?
Pili; tukisha ijua hiyo nchi faida yake ni nini?
tatu; jamiiforum sio mahala pa kupotezea muda bali ni mahala pa kuelimishana, kupeana maarifa, hoja,utatuzi na ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa jamii na taifa kwa ujumla

nchi gani ili iweje?
Kwaza; usitupotezee muda kuna mambo mengi mazito yanayotishia kuyumbisha mustakabali wa nchi yetu tunahitaji kuyajadili, sasa kutuuliza kitu ambacho jibu lake unalo unamaanisha nini?
Pili; tukisha ijua hiyo nchi faida yake ni nini?
Tatu; jamiiforum sio mahala pa kupotezea muda bali ni mahala pa kuelimishana, kupeana maarifa, hoja,utatuzi na ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa jamii na taifa kwa ujumla
umejijibu mwenyewe