Hapa ni kupendana tu.......

Hapa ni kupendana tu.......

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,045
Reaction score
12,541
JAMAA: I Love you sweetie.
BINTI: I love you too... ila tupendane tu,
mambo ya ngono sitaki nakutunzia mpaka
utakapokuwa mume wangu.
JAMAA: Hilo si
tatizo, na mimi mambo ya kuniomba pesa
sitaki nakutunzia mpaka utakapokuwa mke
wangu.!
BINTI: "jamani baby hutaniwi..!!w
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom