Hapa ni chumbani pangu jamani wabongo mnasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa ni chumbani pangu jamani wabongo mnasemaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I have proved you wrong!
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  can you give me first.
   
 5. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  duh, mzizimkavu hizi sio za ki freemason kweli!!!! naogopa jamani!!!lol!!!!!!
   
 6. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  watu wengine wakishikaga pesa wanapataga ukichaa kwa muda.

  kuna jamaa mmoja aliuza sehemu yake akalipwa pesa akaiona nyingi sana akaenda nayo yote bar akanza kunywa konyagi mpaka akafia pale bar.
  mwingine mchimba amadini alipata jiwe akaliuzwa akalipwa pesa akafika nyumbani hajalala anacheka mpaka asubuhi mpaka ndugu zake wakaitwa wakaja wakachukua zile hela wakazipeleka bank ndio akaanza kurudi kwenye akili timamu.
  mwingi alicheza dili la kifisadi alipogawiwa fungu lake aliletewa hela ofisi na briefcase yaania alipofungua tu na kuona hela zilivyojipanaga akatoka akikimbia akajisahaukama yeye ni bosi akaenda kumnyanganya dereva funguo za gari akaanza kujiendesha mwenyewe anazunguka tu na zile hela mjini anaenda nyumbani anaona hapana anarudi ofisini akasahau kama gari inawekwa mafuta ilipozimika akateremaka na briefcase akaanza kukimbia kwa miguu mjini watu watu wanamshangaa kufika ofisini dereva anamuuliza bosi gari iko wapi hajui kaipaki waki wakatoa taarifa polisi gari ikatafutwa ikakutwa imepakiwa mahali yaani siku tatu jamaa anaangaika ilipofika siku ya tatu akampigia jamaa aliyepelekea hela simu akamuuliza uko wapi jamaa kamwambia niko nyumbani kachuku ile pesa kampelekea akamtupia akamwambia unataka kuniua wewe. yaani baada yaho ndio akapata amani.

  pesa za ukwabani tabu kweli kweli na kama huna asili n ayo ni balaa zaidi
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  only God can judge me ofcouse!!!
   
 8. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaweza wakakuita freemason ati!!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  looks like one silver dollar ............. MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Km zile ktk Scar Face.
   
 11. k

  kindboy Senior Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  I only like the smell but not touching it: Pesaa ni nooomaaaaa Jomba, nani anmkumbuka yule jamaa wa hapa A-town miaka kazaa iliyo pita a.k.a Asikofu alipata pesa za tanzanite akaanza panda juu ya bati anarusha pesa leo sijui hata alikimbilia wapi pesa zote zilimkimbia, money is magic.
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh, kuziona tu nimejikuta napata kizunguzungu...
   
 13. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Pokea LIKE kuubwaa!...
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tutalala wapi
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,583
  Trophy Points: 280
  ...Acha hizo MziziMkavu mbona sioni kwato za punda, farasi na wale nanihii lol!

  Uwe na weekend njema
   
 16. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Utakatishaji wa fedha haramu
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Hata zikiwa Fedha za Ki Freemason lakini ni Pesa mkuu jamiif

  Watakavyoniita wache wanite tu mkuu Ngangasyonga

  Mkuu Rutashubanyuma angalia vizuri pesa zipo Mchanganyiko dollar 100 zipo za kumwaga tu hapo .

  mkuu kwanini umepatwa na kizunguzungu?Mkuu Bishop Hiluka

  Mkuu BAK hakuna hapo Kwato la Punda wala kwato la Farasi wala nanii hapo ni Pesa tu za kumwaga.

  Pesa haina Uharamu . Uharamu unawo wewe mwenyewe mwenye Pesa Mkolawake
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Karibu mpenzi unisaidie kusafisha tupate kulala unakaribishwa MadameX
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,583
  Trophy Points: 280


  Money money money money, money (x6)
  Some people got to have it
  Some people really need it
  Listen to me y'all, do things, do things, do bad things with it
  You wanna do things, do things, do things, good things with it
  Talk about cash money, money
  Talk about cash money- dollar bills, yall

  For the love of money
  People will steal from their mother
  For the love of money
  People will rob their own brother
  For the love of money
  People can't even walk the street
  Because they never know who in the world they're gonna beat
  For that lean, mean, mean green
  Almighty dollar, money

  For the love of money
  People will lie, Lord, they will cheat
  For the love of money
  People don't care who they hurt or beat
  For the love of money
  A woman will sell her precious body
  For a small piece of paper it carries a lot of weight
  Call it lean, mean, mean green

  Almighty dollar

  I know money is the root of all evil
  Do funny things to some people
  Give me a nickel, brother can you spare a dime
  Money can drive some people out of their minds

  Got to have it, I really need it
  How many things have I heard you say
  Some people really need it
  How many things have I heard you say
  Got to have it, I really need it
  How many things have I heard you say
  Lay down, lay down, a woman will lay down
  For the love of money
  All for the love of money
  Don't let, don't let, don't let money rule you
  For the love of money
  Money can change people sometimes
  Don't let, don't let, don't let money fool you
  Money can fool people sometimes
  People! Don't let money, don't let money change you,
  it will keep on changing, changing up your mind.
  <!--Lyrics End-->


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu BAK
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...