Hapa ni China au Iringa?



Kinshasa, Democratic Republic of the Congo: A woman sells maggots at the market of Kinshasa​
 
Ugeni huu shida sana,
Kumbe pande hii kuna misosi?
Nyama ni nyama tu,
Nimesha kula;
Mbwa,Nyani,Nyoka Chura Panya konokono Panzi na bettle
Ni namna tu ya kuandaa,
Wakipikwa na soya sauce,
halafu usawa wenyewe huu wa bongo,

Thubutuuu hata kibandiko kinawekwa mfukoni.



Ni nman


mbwa
 
Mazingira yanaamua aina ya chakula cha eneo husika,
 
yaani ingekua poaa bucha za hapaa zinge halalisha huoo mpangooo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…