Hapa ndo kuna usalama

Polisi wangekuwa na sachi warrant wangeweza kuingia ndani ya sketi ili wapekue vyumba vyoote.
 
Hivi ingekuaje wakati polisi wanamuulizia kama ameona mtu kapita hapo afu kwa woga wa huyo dada angeanza kutetemeka kwa woga tu akajamba humo ndani ya sketi jamaa siangesema mmeamua kunifuata humu na mizinga kama ya mbagala?
 
teh teh teh jamaa angecheka tu
 
he! Exlnt huja lala mkuu?mtani wetu wa kusoma wapi?
Bado sijalala,wakusoma ana id lingine ila amejirekebisha,ID ya wakusoma nasikia imepewa permanent ban ila sina uhakika
 
Hata Excellent mwenyewe kajificha kwenye hii avatar anaona ndo kuna usalama
 
Hivi ingekuaje wakati polisi wanamuulizia kama ameona mtu kapita hapo afu kwa woga wa huyo dada angeanza kutetemeka kwa woga tu akajamba humo ndani ya sketi jamaa siangesema mmeamua kunifuata humu na mizinga kama ya mbagala?
hahahaaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom