Kuna nabii flani hivi toka tanga huko huyo hauhitaji uwe hata na elimu ya shuleni kujua anachofanya kuwa ni kinyume cha ukweli..Mmh nikiangalia lile pagale la Gwajima sioni uhalisia
Yani ni kweli kabisa. Wanawake tangu kuumbwa kwa dunia tunatumiwa tu.Na cha ajabu waumini wao walio wengi ni wale wa maisha ya chini kabisa!!!kutwa nzima nimkushinda makanisani tu hata shughuri za kujipatia kipato huwa cjui wanazifanya saa ngapi??na hasa wanawake jamani hadi wengine ndoa zao zinavunjika kwani yeye ni kanisani tu!!kuna kanisa moja eti mafuta,maji ya ubavuni kwa yesu na sticker ni 75,000!! Na mtu ana nunua!!kuna mwingine nimemuona jana kwenye tv alikuwa anazindua huduma yake daa hayo mavazi kama FIELD MARSHAL ,wa jeshi la anga la Australia!!
hii ni kitu kibaya sana na inaumiza kuchukua pesa kutoka maskini bora umwibie tajiri aiseeNa cha ajabu waumini wao walio wengi ni wale wa maisha ya chini kabisa!!!kutwa nzima nimkushinda makanisani tu hata shughuri za kujipatia kipato huwa cjui wanazifanya saa ngapi??na hasa wanawake jamani hadi wengine ndoa zao zinavunjika kwani yeye ni kanisani tu!!kuna kanisa moja eti mafuta,maji ya ubavuni kwa yesu na sticker ni 75,000!! Na mtu ana nunua!!kuna mwingine nimemuona jana kwenye tv alikuwa anazindua huduma yake daa hayo mavazi kama FIELD MARSHAL ,wa jeshi la anga la Australia!!
hakika mkuu ukosoma bible hakuna atakaye kudanganyaWell Mshara umetoa elimu nzuri sana kwa hawa viongozi wa makanisa. Jambo moja huwa natafakari msingi wa haya makanisa ni nini? Mi naona kuna shida ya kiroho ambazo zimetawala kuna unclean spirit zinatakontrol haya makanisa .Unakuta mwanzilishi wa kanisa alikuwa anahudumu kanisa flani wakatofautiana (hapa tusitake kujua msingi wa tofauti zao)na kiongozi mwingine roho ya uasi(rebellion) inamuingia anaondoka anaanzisha kanisa lake. Kumbuka hata akiondoka atatafuta watu wake wa kuondoka nao sasa asimame madhabahuni sasa majigambo yakutosha too much controlling anaona waumni kama ni mali yake , ataka kunyenyekewa mpk kuna wakati unajiuliza hawa ni kwamba wameamua kuwa mateka wa mtu .
Ndugu zangu wakristo wenzangu tusome biblia tutafute maarifa, na roho wa Mungu hatakuacha upotee ukimuweka Mungu mbele